UPENDO WA KANISA, UPENDO WA IMANI.

Karibu Kanisa Letu Sayuni EAGT.

Jiunge Nasi Jumapili Mubashara

Kila Jumapili Kwanzia saa 3:00 asubuhi na 5:00 asubuhi

Jiunge Sasa Shuhuda

Huduma Zetu

Tunapenda Kuhudumia Jamii Zetu.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Learn More

Askofu Dr Leonard Majura Mwizarubi & Mama Dr Amesarion L Mwizarubi.

Mchungaji Kiongozi

Karibu!

Tunashukuru sana kwa nafasi ya kumtumikia Mungu katika kanisa hili zuri. Tangu tulipokuja hapa miaka 30 iliyopita, maisha yetu yamebadilishwa kwa njia ambazo hatuwezi kufikiria. Hii  ndiyo Imani letu kwa kila mtu anayejiunga na kanisa letu – iwe kwa kuwepo hapa au kwa njia ya mtandao kuyasikiliza na kuyatenda mafundisho ya neno la Mungu kwa moyo wote, hakika utabadilishwa na kwamba maisha yako yataboreshwa kwani Mungu tunaemtumikia sio dhalimu.
Tunakuhimiza utumie fursa zote ambazo sayunieagtchurch inatoa, kupitia  mafundisho yenye msingi wa Bibilia (Neno la Mungu) na ufunuo wa  Roho matakatifu kama nyezo ya kukuwezesha kutumia vipawa na talanta zako kumtumikia Mungu na watu wengine.
Daima tunashangazwa na ushuhuda usio na kifani wa mafanikio, uponyaji na urejesho ambao tunaushuhudia kutoka kwa watu waliounganishwa na huduma hii. Ni maombi yetu  kwamba shuhuda hizi siku moja ziwe halisi kwako  na wewe uwe sehemu ya kuyataja matendo makuu ya Mungu kwa wengine.
Askofu Dr Leonard Majura Mwizarubi & Mama Dr Amesarion L Mwizarubi.

Ratiba ya Ibada

Siku
Saa
Shughuli
JUMATATU
Saa 10:00 – 12:00
CHAMA CHA VIJANA (CGM)
JUMANNE
Saa 10:00 – 12:00
CHAMA CHA WANAWAKE (WWI)
JUMANNE
Saa 10:00 – 12:00
CHAMA CHA WABABA (WHI)
JUMATANO
Saa 10:00 – 12:00
KUJIFUNZA BIBLIA (BIBLE STUDIES)
ALHAMISI
Saa 10:00 – 12:00
MAZOEZI YA KWAYA ZOTE
IJUMAA
Saa 3:00 – 8:00
USHAURI NA MAOMBEZI
IJUMAA
Saa 10:00 – 12:00
MAOMBI YA KUFUNGA KANISA ZIMA
JUMAMOSI
Saa 09:00 – 12:00
MAZOEZI YA KWAYA ZOTE
JUMAPILI
Saa 2:20 – 4:00
MAOMBI NA SUNDAY SCHOOL
JUMAPILI
Saa 4:00 – 7:00
IBADA KUU

Current Series

Hope for Tomorrow

Get caught up with the current message series! Turpis massa sed elementum tempus egestas sed sed risus pretium.

YOTE KUHUSU YESU KRISTU​

Nini Tunaamini​

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Maadili Yetu Ya Msingi​

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus.

Imani Yetu

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus.

Nguvu Za Kiroho

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus.

Mon — Thu / 8am – 4pm

Arusha, Tanzania

+255 754 855 305​